Shetta Amnunulia Mwanae zawadi ya Gari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ahadi ni deni hivyo ndivyo unavyoweza kusema, hatimaye mwanamuziki na mfanyabiashara @officialshetta ametimiza kile alichomuahidi binti yake @officialqayllah kwa kumpatia zawadi ya gari aina ya Toyota IST.

Shetta ameeleza, zawadi ya gari hiyo kwa binti yake ni baada ya Qayllah kufikisha umri wa miaka 10 pamoja na kufanya vizuri katika masomo yake shuleni.

''Nilimwambia ukifika Miaka 10 na ukifanya vizuri shuleni ntakununulia gari yako. Ahadi ni deni. Binti amefikisha miaka 10 Alhamdulilah 🙏 Guess what? I Got One for madam president. ❤️ Love you boss!''
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad