Watatu Wahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kuitungua Ndege ya Malaysia -MH17

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mahakama nchini Uholanzi  Novemba 11, 2022 iliwatia hatiani wanaume watatu bila kuwepo mahakamani kwa mauaji ya halaiki kwa jukumu lao katika kuangusha ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH17.

Ndege hiyo ilianguka mashariki mwa Ukraine mwaka 2014 na kuua abiria wote 298 na wafanyakazi waliokuwa ndani ya ndege hiyo.

Wanaume hao watatu, Warassia wawili na mmoja wa Ukraine, walihukumiwa kifungo cha maisha jela.

Kwa sasa wana aminika wapo Russia au wanapigana sambamba na majeshi ya Russia baada ya kuivamia Ukraine.


Ndege hiyo aina ya Boeing 777 ilikuwa ikisafiri kutoka Amsterdam kuelekea Kuala Lumpur ilipotunguliwa Julai 17, 2014, katika miezi ya mwanzo ya vita kati ya waasi wanaoungwa mkono na Russia na wanajeshi wa Ukraine katika eneo la Donbas mashariki mwa Ukraine.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad