Harmonize, Rayvanny Wamsusia Juma Jux

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize na Rayvanny walikuwa ni miongoni mwa wasanii walioalikwa katika uzinduzi wa Album ya Jux ' King of Hearts' usiku wa kuamkia leo lakini hawakufika.

Mastaa Rayvanny na Harmonize hawakuhudhuria kama ilivyoelezwa kwenye ukurasa wa instagram wa Juma Jux kuwa watakuwepo.

Album ya King of Heart's ina ngoma 16 na inapatikana katika 'platform' zote za kupakua na kusikiliza muziki.

Hatahivyo mastaa mbalimbali walihudhiria akiwemo Diamond Platnumz, Irene Uwoya, Mbosso, Loui, Navykenzo, H baba etc.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad