Inasemekana Kajala Anaficha Ukweli, Yeye Ndio Ameachwa na Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Inasemekana Hapa Katikati ulizuka Ugomvi mzito kati ya Kajala na Harmonize. Chanzo ni kwamba, Siku moja Harmonize akiwa kwenye Show, alikuwa anaongea sana na mtu kwenye Simu, Kajala hakupenda ile hali, akamuuliza anaongea na nani?, Harmonize hakujibu!


Kuanzia hapo wakanuniana, Walirudi Nyumbani Ugomvi ukazuka upya, Kajala akasema anaondoka kwake hakai tena kwa Harmonize, Harmonize akavunja Perfume zote za Kajala na akamwambie aondoke tu, amechoka Kumbembeleza.


Kajala hakuamini kama Harmonize yupo Serious hivyo akaanza kuomba Msamaha, lakini Harmonize hakumsikiliza akamfukuza kama Mbwa Manunu wa Wema Sepetu.


Kajala akarudi kwake na baada ya Wiki akaanza kutafuta watu wa karibu na Harmonize ili wamuombee msamaha lakini ikashindikana.


Baada ya Hapo Kajala akaenda South Africa lakini akawa bado anaomba msamaha kwa Harmonize, Kilichofata akapigwa Block Kila Sehemu.


Hivyo Jana ndio akaamua kuandika kwenye Page yake ili ionekane yeye ndio amemuacha Harmonize, ila Ukweli ni kwamba yeye ndio ameachwa.


Mbaya zaidi kuna watu wamemuona Harmonize Tegeta akiwa na Range moja wapo aliyompa kajala, Ametoa kabisa ile Kajala 1, Gari halina Plate Number.

Hopetyga

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad