Whozu Afunguka Kunenepa Kisa Wema Sepetu na Kisa Cha Ujauzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Ni kweli Chimama (Wema Sepetu) alibeba ujauzito wangu lakini haikuwa bahati ukatoka kutokana na sababu nilizozisema hapo awali kwamba kulitokea ugomvi wa kimapenzi kati yetu ambao ulisababisha ujauzito kutoka, ila nina imani atapata ujauzito mwingine maana yajayo yanafurahisha ukizingatia huu mwaka lazima nimuoe" - amesema Whozu akiongea na EATV.

"Kuwa kwenye mahusiano na Wema Sepetu kumeniongezea mashabiki wengi wa kike, kumenipa faraja na nanenepa kila siku nyie wenyewe mnaona, hii inatokana na kwamba Chimama ni mpishi mzuri na anajali sana"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad