Ticker

6/recent/ticker-posts

Mke wa Dr. Mwaka amuomba Rais Samia kuingilia kati sakata lake, aomba ulinzi

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPASiku ya jana wakati Queen ambaye ni mke wa Dr. Mwaka amemuomba Rais Samia kuingilia kati sakata lake na Dr.Mwaka ambalo limechukua muda mrefu sana kutotolewa kwa talaka.

Queen amedai kuwa usalama wake upo hatarini sana kwa sababu kila siku kuna gari huenda kupake karibu na nyumba yake na hajui kitu gani kinaendelea.

Mbali na hilo alipewa siku 21 na bado siku 8 tu na hajui kitu gani kitaenda kumtokea baada ya siku hizo 8 kumalizika.


Post a Comment

0 Comments