Mwijaku Atia Neno Ndoa ya Paula Kajala ""Mikosi Mingine Mnajitakiaga, Akiolewa na Kudumu Kwenye Ndoa Mniite Nguruwe Pori"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

ndoa ya Paula Kajala

 Ameandika Mtangazaji maarufu wa Radio na Tv Tanzania, Mwijaku kuhusu ndoa ya Paula Kajala 

,"Namuwaza #VANYBOY na #KONDEBOY wana hali gani ? NDOA SIO KWAPA USEME KULA MTU AIPATE"

Ila kwenye twitter amekuwa na kauli tofauti, Mwijaku ameandika, 

"Mikosi mingine mnajitakiaga wenyewe mtoto hata shule hajamaliza una muhusisha na zinaa ya ukubwani . AKIOLEWA na KUDUMU kwenye NDOA uniite NGURUWE PORI nimekaa paleee CMG natangaza Kipindi #LT"

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad