Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Kutoka kwenye Twitter ya Mwanasheria wa Yanga SC @simon.esq , Ameandika Hizi kauli 6 kuhusu Ishu ya Feisal Salum,
"Mtazamo Wangu:
- Yanga imepoteza mchezaji wake.
- Kijana kapoteza nafasi ya kucheza mpira.
- Aliyenyuma ya Kijana kafanikiwa kumuharibia maisha.
- Familia ya Kijana imenufaika kimaisha.
- Wanasheria wa Kijana wamejitengenezea pesa.
- Waandishi wamefanikiwa kutengeneza Content."
0 Comments