Ticker

6/recent/ticker-posts

TANAPA yataja sababu simba aliyeuawa kuitwa 'Bob Junior'

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPAShirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limetaja sababu ya simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ kupewa jina hilo.


Akizungumza na waandishi wa habari Kamishna wa uhifadhi wa shirika hilo, William Mwakilema amesema simba huyo aliyeuawa Machi 11, 2023 baada ya kushambuliwa na kundi la simba watatu waliokuwa na njama ya muda mrefu ya kuuangusha utawala wake lilitokana na kuwa na nywele nyingi zilizoota kifuani mwake ambazo zilikuwa ni nyeusi ambazo watu wengi walizifananisha na za msanii maarufu wa Reggae marehemu Bob Marley.

Post a Comment

0 Comments