Hotel Yafunfua Chumba cha Kujiua Kwa Watu Waliokata Tamaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uongozi wa Hoteli ya Red Roof Inn nchini Marekani, umeunda vyumba vya kifahari vya kifo kwa watu wanaojiua ambao wamekata tamaa ya maisha, ambacho hukodishwa kwa kiasi kisichozidi Dola 40 sawa na shillingi elfu 94,280.00 za kitanzania ikiwa katika eneo la Cincinnati – Sharonville 2301 Sharon Road.

Baada ya kumaliza malipo mteja hulala akiwa na silaha mbalimbali ikiwemo Bastola, visu vya ukubwa tofauti, bafu lenye shoti ya umeme na pia hukuta kamba iliyoandaliwa kwa ajili ya kujinyonga na yeye huchagua akipendacho ili kutimiza lengo lake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hotel ya Marcia Jeffrey Connelly, ameeleza kuwa wana vyumba maalumu kulingana na hitaji kwa mtu yeyote ambaye ameamua kujitoa uhai kwa haraka bila uchungu.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba watu wamekuwa wakienda katika Hoteli hiyo kukodisha chumba na baada ya kufanya malipo hupewa funguo na kisha huingia ndani kwa ajili ya kuendelea na starehe hiyo ya kujiua.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad