Nimeongea na Juma Mgunda na Ally Kamwe Wameyamaliza Kwa Roho Safi

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza HapaNimeongea na Ally Kamwe na kocha Juma Mgunda kwa nyakati tofauti, nimefurahi wote wamesikitishwa na kilichotea baina yao na wameyamaliza. Mtoto kajutia kosa na kuomba radhi mzazi kasamehe kwakuwa kijana amejikwaa ulimi. Lililo mbele ni mechi ya fainali ambayo ni muhimu kwa taifa.

By Bin Kazumari
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad