Matokeo ya Yanga vs USM Alger leo 03 June 2023 Final

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Jumapili iliyopita katika Dimba la Mkapa, Yanga ilifungwa bao 2-1, hivyo katika mchezo wa mkondo wa pili inahitaji ushindi wa angalau bao 2-0 ili iweze kujihakikishia kunyakua ubingwa huo. 

KLABU ya Yanga imeshindwa kuwa mabingwa licha kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Alger kwenye mchezo wa Fainali kombe la Shirikisho mkondo wa pili mara baada ya matokeo ya kwanza akiwanyumbani kuruhusu kufungwa mabao 2-1.


Katika mchezohuo ambao ulijaa vitimbwi mbalimbali kutoka kwa mashabiki wa USM Algers hasa kuwasha mafataki na kusababisha moshi mwingi kujaa uwanjani na kufanya mpira kusimama mara kadhaa kwenye mchezo huo.


Yanga Sc ilianza kupata bao kupitia kwa beki wao Djuma Shabaan kwa mkwaju wa penati dakika za mwanzo kipindi cha kwanza, bao ambalo liliweza kudumu mpaka dakika 90 ya mchezo.


Fiston Kalala Mayele amefanikiwa kuchukua kiatu cha ufungaji bora kwenye michuano hiyo kwa kufanikiwa kuwa kinara wa upachikaji wa mabao baada ya kupachika mabao 7 kwenye michuano hiyo ambayo imefikia tamati leo



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad