Sababu za Rosa Ree Kuficha Ujauzito Wake Mpaka Kujifungua Kwa Siri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Goddess @rosa_ree Akiwa Kwenye #TheSwitch Ametoa Exclusive ya Sababu Zilizomfanya Kuficha Ujauzito wake na Hata Alipojifungua Kuendelea Kumficha Mtoto Mpaka Alipoweka Wazi Mwaka Huu Kwenye Siku ya Mama Duniani

Rosa Ree Amesema Kuwa Alitaka Kupitia Hali Ile ya Ujauzito Pamoja Na Kulea Kivyake Bila kuingiliwa na maoni ya Dunia Nzima

"Nilitaka Kupitia Ile 'Experience' Kivyangu. Unajua Social Media (Mitandao) inawaruhusu watu wote duniani kutoa maoni kuhusu Maisha Yako na Mimi sikutaka kuingiliwa Katika experience ambayo ningepitia na mwanangu, nilitaka nijifunze kuwa mama mwenyewe"

"Ilipofika siku ya Mama Duniani, niliona hii inanihusu ndio maana nikaamua kuweka wazi kuwa Mimi ni mama"

Cc: @lilommy @ammygal_tz @mtuimara
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad