Wimbo wa 'Raha' waibuka ugomvi kati ya Nandy na Billnass

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


The African Princess @officialnandy ametuambia kuwa wakati anarekodi wimbo wake mpya wa 'Raha' alikuwa kwenye ugomvi mkubwa na mumewe @billnass

Nandy ameshea ujumbe huu unaoeleza ugomvi huo na wimbo wake wa 'Raha' ulivyowapanisha.

"Wakati narecord huu wimbo tulikuwa kwenye ugomvi mkubwa sana na mume wangu. Sikutaka kabisa kuingiza hii mistari japo nilimwambia @lodymusic_ wakati tumepata hii beat kwa @kimambobeats a-record maudhui haya iwe wimbo wa wapenzi wenye mapenzi ya dhati kwa wapenzi wao"

"Imagine huu huu wimbo nilipo chukua demo nikarudi nyumbani usiku nikaweka ndo uliotupatanisha na umekuwa ni wimbo wenye maana sana kwetu. Nakupenda sana @billnass rohoo yangu tugombane tenaa bwana maana make over yetu ilikuwa balaa" amesema Nandy.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad