Kibarua Kigumu Taifa Stars Vs Algeria Leo , Patachimbika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kibarua Kigumu Taifa Stars Vs Algeria Leo , Patachimbika



TIMU ya taifa ya soka(Taifa Stars) leo inashuka dimbani dhidi ya Algeria katika mchezo wa mwisho kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2023.

Mchezo huo wa kundi F utafanyika kwenye uwanja wa 19 May 1956 uliopo mji wa Annaba Kaskazini Mashariki mwa Algeria huku Stars ikitakiwa kushinda ili kujihakikishia kufuzu.

Niger itaikaribisha Uganda katika mchezo mwingine wa kundi hilo kwenye uwanja wa Marrakech, Morocco.

Algeria inaongoza kundi F ikiwa na pointi 15 ikifuatiwa na Tanzania yenye pointi 7, Uganda ina pointi 4 wakati Niger iliyopo nafasi ya mwisho ina pointi 2.

Michezo mingine ya kufuzu fainali hizo ni kama ifuatavyo:

KUNDI E
Angola vs Madagascar
Ghana vs Jamhuri ya Afrika ya Kati

KUNDI J
Tunisia vs Botswana
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad