Lionel Messi Azomewa Kwa Timu yake Kupigwa Goli Tano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Lionel Messi alidhihakiwa baada ya Inter Miami kufungwa 5-2 na Atlanta United katika mchezo wa Major League Soccer (MSL), Jumapili Septemba 17. Ikiwa ni kichapo chao cha kwanza tangu kuwasili kwa Leo kunako Klabu hiyo.

Muargentina huyo, ambaye alikosa mchezo kutokana na majeraha, ali-share picha ya Pizza Insta Story akiwa mjini Miami siku moja kabla ya mchezo ambapo baada ya ushindi huo, admin wa Atlanta ali-post picha ya Pizza kupitia twitter iliyopambwa na herufi 'L' na kuandika, "Hapa kuna Pizza yako kwa ajili ya safari".
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad