Amber Lulu Atoa Mpya: Nikiwa Mkubwa Natamani Kuwa Kama Zuchu

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

 

Amber Lulu Atoa Mpya: Nikiwa Mkubwa Natamani Kuwa Kama Zuchu

Msanii wa Bongo Flava Amber Lulu amesema kuwa anampenda sana Zuchu na anatamani akiwa mkubwa awe kama yeye.

Kupitia insta story yake Amber ameandika;

"Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama Zuchu, nampenda huyu msichana jamani uwii

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad