Haji Manara "Simba Wataendelea Kukusanya POINTS za Dhulma na Tukija Kustuka Ubingwa Huo Hapo Kwao"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Haji Manara "Simba Wataendelea Kukusanya POINTS za Dhulma na Tukija Kustuka Ubingwa Huo Hapo Kwao"


Anafoka @hajismanara ✍️

"Goli halali linakataliwa kisha Wanaenda kupewa Clear offside bila haya wala aibu."

"Imagine kati ya mechi tano walizocheza tatu ni maumivu kwa wapinzani wao."

"wataendelea kukusanya points za dhulma na tukija kustuka ubingwa huo hapo kwao.

"Lazma tuseme kwa nguvu bila kumuonea mtu haya,tuiambie Mamlaka wazi wazi kuhusu ubabaifu uliokithiri wa udhalimu unaoendelea na tusijali matokeo ya adhabu zao, maana tutakuwa tunataka haki ya ligi bora isiyo na dhulma."
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad