Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Yametoka Leo, Yasome Hapa
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed.
Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo, watarudia tena mwaka 2024 huku wakitangaza kufuta matokeo ya wanafunzi 31 kwa kufanya udanganyifu.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA