NIDA na RITA zaunganishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NIDA na RITA zaunganishwa


Serikali kupitia kwa Waziri wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo leo Desemba 15, 2023 imetangaza kufuta mashirika manne na kuunganisha mashirika na taasisi za umma 16.


Mashirika yaliyounganishwa ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) na yanaunganishwa na kuunda taasisi moja inatayohusika na utambuzi wa matukio muhimu maishani na lengo ni kutekeleza maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na namba moja ya utambulisho (Single Identification Number).

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad