Mayele Afunguka "Chuki ya Nini Mimi Sio Mtanzania, Nilikosea Kucheza Timu ya Tanzania'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Fiston Mayele
Fiston Mayele


Mshambuliaji wa Pyramids ya Misri na timu ya Taifa ya DR Congo Fiston Mayele ameweka ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akionesha kuumizwa na kitu na kuwataja mashabiki wa Yanga alipojibu moja ya comment ya shabiki yake.

Ujumbe wa Mayele unasomeka “CHUKI YA NINI MIMI SIO MTANZANIA ,NILIKOSEA KUCHEZA TIMU YA TANZANIA”

Imumbukwe kabla ya kwenda Pyramids Mayele alikuwa mchezaji wa Yanga.

Tunaendelea kufuatilia ili kubaini chanzo ni nini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad