Diva Atangaza Kuachana Rasmi na Mganga Abdulrazak

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Diva atangaza kuachana rasmi na Abdulrazak baada ya ndoa yao ya miaka 3 iliyojaa matukio mbalimbali ikiwemo usaliti

"Hi guys, mimi na Sheikh Abdulrazak Salum hatuko tena katila ndoa. Nimejitoa mwenyewe namerudishia vitu alivyonipatia wakati ananioa, at some point I feel no love for him anymore hivyo siwezi jilazimisha kuishi nae for a TV show or anything

kwasasa would love to have peace of mind mwenyewe ni focus na mambo yangu mwenyewe. ndoa hii ilinipa heartbreak(maumivu) nyingi ambazo sikustahili nilisamehe sana lakini imekuwa back and fourth!. imenifanya nimekuwa na hasira zisizoisha na some how sikuwa mimi and if I keep going on like this I will lose myself completely!

sitaki maumivu tena .. nilimuuguza alipoumwa na kuwa hapo kwa ajili yake alipokuwa na matatizo yote hivyo Mungu pia nae ameona ..kumekuwa na mambo mengi, ni mambo au matukio yanayojirudia sana ikiwemo usaliti usioisha , na vingine.najua ni ubinadamu ndio maana nimeamua kuondoka peacefully

I wish him the best in life bila ugomvi wala anything.ni maamuzi nimeyafanya kwa akili zangu binafsi.Mungu ampe kila hitaji la moyo wake.sio kiki sio attention sio anything ..Imetoka ndani ya moyo wangu ' bila chuki bila hasira bila chochote!.

Nimemweleza yeye sababu hakutaka toa talaka nikapata njia niliyoelezwa pia kidini inafaa na nimetekeleza so that I can be happy ad peaceful.namshukuru kwa Miaka 3 ya ndoa , kwa good moments na good memories na zile moments mbaya ni Mungu alitaka nipa challenge ili ntakapoingia katika ndoa ingia kihalali nijue jinsi ya kuziishi

Nina imani nitaolewa na mwanaume mwengine na kupata watoto na kutengeneza familia iliyo bora ,wakati leo nafunga kwa siku 4 mfululizo nimemuomba Mungu anipe mume alie bora ataenithamini mimi na kunipa thamani ya mke na ntatimiza yanayostahili kama hakutakuwa na mambo yatayonikwaza sababu mi ni mtu nina utu na upendo mwingi I wil share it with lots of love

safari hii there is no going back (sirudi).. need Peace of mind. Najua watu huwa mnasema sina maamuzi lakin huwa ninayo na huwa nafanya kwa muda wangu ninaoona ni sahihi I deserve better so sorry Zamaradi Mketema wangu Nakupenda Pia"
bongomixed_habari
😂😂😂
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad