Droo ya Klabu Bingwa Afrika Robo Fainali 2024

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Droo ya Klabu Bingwa Afrika Robo Fainali 2024

Wawakilisha wa Tanzania kunako Ligi ya Mabingwa Afrika, Timu ya Simba SC imepangwa na Klabu ya Al Ahly hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba kwa miaka minne sasa imekuwa ikikomea hatua ya Robo Fainali na huenda safari hii wakafanya kweli.

Michezo ya Mzunguko wa kwanza itapigwa kati ya Machi 29-30 Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam huku michezo ya mkondo wa Pili ukupigwa kati ya April 5-6 Jijini Cairo.

Klabu ya Yanga imepangwa na Timu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga walikuwa na nafasi ya kukutana na wapinzani watatu ambao ni Asec Mimosas, Mamelodi Sundowns na Petro Atletico De Luanda na bahati ikaangukia kwa wajukuu wa Nelson Mandela.

Michezo ya mzunguko wa Kwanza itapigwa kati ya Machi 29-30 Uwanja wa Mkapa na mchezo wa mzunguko wa pili utapigwa kati ya April 5-6 Afrika ya Kusini.

TotalEnergies CAF Champions League Quarter-Finals Draw Outcome:

First Leg: 29 – 30 March 2024

QF 1 | Simba FC (TAN) vs Al Ahly SC (EGY)

QF 2 | TP Mazembe (DRC) vs Atletico de Petroleos (ANG)

QF 3 | Esperance Sportive de Tunis (TUN) vs Asec Mimosas (CIV)

QF 4 | Young Africans (TAN) vs Mamelodi Sundowns (RSA)

 

Second Leg: 05 – 06 April 2024

QF 1 | Al Ahly SC (EGY) vs Simba FC (TAN)

QF 2 | Atletico de Petroleos (ANG) vs TP Mazembe (DRC)

QF 3 | vs Asec Mimosas (CIV) vs Esperance Sportive de Tunis (TUN)

QF 4 | Mamelodi Sundowns (RSA) vs Young Africans (TAN) 

  

Semi-Finals Draw Outcome:

SF 1: QF 3 Winner vs QF 4 Winner

SF 2: QF 2 Winner vs QF 1 Winner

 

Semi-Finals Official Dates and Venues TBC.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad