Kapombe : Simba Tunakwenda Kufungua Ukurasa Mpya..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Beki wa pembeni wa klabu ya Simba, Shomari Kapombe, amedai wachezaji wote wa timu hiyo wapo tayari kufungua ukurasa mpya wa kwenda kucheza nusu fainali.

Amedai maandalizi waliyoyafanya yanawapa moyo wa kufanya vizuri na kuingia hatua ya nusu fainali badala ya robo fainali ambayo wamekuwa wakiishia mara kadhaa.

"Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya kupambana na mabingwa wa kihistoria wa michuano hii mkubwa Afrika, lengo letu ni kuandika historia mpya ya kuingia nusu fainali na tunaamini inawezekana kikubwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho kwa Mkapa." alisema Kapombe.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad