Njia ya Dar es Salaam Mtwara Haipitiki, Daraja Lakatika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Njia ya Dar es Salaam Mtwara Haipitiki, Daraja Lakatika


Daraja la Somanga linalounganisha Mkoa wa Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma limekatika usiku huu kutokana na mvu zinaoendelea kunyesha na kusababisha magari ya abiria na mizigo kukwama njiani kwa saa kadhaa sasa.


Mmoja wa abiria ambaye ni miongoni kwa waliokwama akiwa anatokea Dar es salaam kwenda Mtwara, ameiambia @AyoTV_ kwamba kwa sasa anapambana kutafuta sehemu ya kulala kwakuwa hakuna uhakika wa kuvuka leo ingawa Mamlaka zinapambana kurejesha mawasiliano “Kila Mtu yupo upande wake, yaani sisi hatuwezi kwenda Mtwara na wa Mtwara hawawezi kuja Dar es salaam, Somanga hapa Lodge zote zimejaa, kuna Watu wametafuta vyumba kupumzika wamekosa, wengine wamelala kwenye magari”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad