Yanga Kuwakosa Pacome, Yao na Aucho Dhidi ya Mamelodi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Yanga Kuwakosa Pacome, Yao na Aucho Dhidi ya Mamelodi

Kocha wa klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amewaanika wachezaji ambao wataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye Uwanja wa Mkapa.

"Kutokana na sababu za majeraha, wachezaji hao ni pamoja na Pacome, Khalid Aucho na Kwasi Yao, lakini kuna baadhi ya wachezaji wengine wawili tunaweza kuwakosa kwa kuwa wamechelewa kujiunga na timu kutokana na majukumu ya timu zao za taifa." alisema Gamondi.

Hata hivyo, kocha huyo aliongeza kwa kusema Yanga ipo tayari kupambana na wapinzania wao kwenye mchezo wa nyumbani na ugenini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad