Aliyewahi Kuwa Kocha wa Viungo wa Simba SC, Afariki Duniani.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAAliyewahi kuwa kocha wa viungo wa Simba SC, Adel Zrane amefariki duniani.

Zrane hadi umauti unamkuta alikuwa kocha wa viungo wa APR FC nchini Rwanda.

Taarifa ya APR FC imeeleza kuwa chanzo cha kifo chake bado haijafahamika.

Akiwa na Simba amefanya kazi na makocha tofauti akianza na Patrick Aussems, Sven Vandebroeck na Didier Gomes ambapo alikuwa kipenzi cha mashabiki kwa namna alivyoifanya timu hiyo kuwa kwenye fiziki nzuri.

Adel aliondoka Simba mwaka 2021.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad