Aziz KI Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Aziz KI Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu

Kiungo wa Yanga Raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Mach wa Ligi kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi).


Aziz KI amebeba Tuzo hiyo akiwapiku Kiungo wa Simba Clatous Chama na Feisal Salum wa Azam FC.


Kwa Mwezi Machi Aziz KI amecheza Mechi nne akifunga mabao matatu na kutoa pasi nne za mabao.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad