Kocha Natoka: Simba Tunaenda Kumfungia Yanga Kesho, Hatuwezi Poteza Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAKuelekea mchezo wa kesho Kocha Msaidizi Simba SC ,Seleman Matola amesema hawapo tayari kupoteza mchezo wa kesho licha ya kuwepo kwa mfululizo wa matokeo mabaya hivi karibuni kwa upande wao.

“Hii ni mechi nyingine hatuangalii kilichotokea nyuma tunaangalia mchezo wetu wa mbele. Kitu kizuri tuna wachezaji wenye uzoefu kwa upande wetu sisi hii haitakuwa derby nyepesi “

“Hatukuwa na matokeo mazuri katika mechi zilizopita lakini hatutakubali kupoteza katika mechi zetu zijazo hasa katika mchezo na Young Africans, tunahitaji kupata ushindi.”

“Wachezaji wapo fiti na wana morali ya kutosha kwa mchezo huo kwani lengo letu ni kupata ushindi. Benchi la ufundi linaendelea kurekebisha mapungufu ili timu iwe na makali ya hali ya juu.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini: 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad