Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Elias Daniel Mwandobo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba akichukua nafasi ya #KenanKihongosi aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Kabla ya Uteuzi, Mwandobo alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais-Ikulu
Aidha, Christopher Magala ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, akichukua nafasi ya Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo ambaye Uteuzi wake umetenguliwa
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA