Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Dk Stephen Mwakajumilo, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema.
Wakati huohuo Rais Samia amemteua, Christopher Magala kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo
LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com