Kila Napokaribia Anachomoa na Kuibana Kisha Ananidai vitu vya Thamani!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jamani eeh naombeni msaada au tu munielekeze huyu mpenzi wngu ni wa namna gani.
Mtaani kwetu kuna demu nimempenda huu ni kama mwezi wa sita sasa,na yeye vilevile anaonyesha kunipenda lakini sina uhakika kwa hili ninalotaka kulitoa moyoni

Kiufupi tu mimi huwa ni mtu wa kupigwa mizinga karibia kila wiki nikimnunulia hiki wiki ijayo atataka hiki na kama unavojua maisha ya siku hizi hela yako tu vitu kama simu vinatoka matoleo kila siku,laptop ndo usiseme ,nguo na viatu kila asubuhi na jioni!sasa basi nilipoona huyu ni mtu wa mizinga kidogo siku hizi huwa na sitasita kutekeleza yani kiufupi nampenda sana sasa inabidi tu nipunguze mapenzi

Lakini cha ajabu kila ninapokuwa nae ndani ya sita kwa sita siku hizi yeye ka-change huwa ninapokaribia kutoa wareno( pale wakuu si mnajua tena shughuli yake pale) huwa anaichomoa na kuibana na kukumbushia ahadi zake za vitu alivyoniomba!!sasaa kwa sababu mimi nakuwa nmezidiwa nataka kumaliza huwa naitikia tu" yes ntakupa"!!kisha ndo anairudishia tena ndani!

Sasa jaman naombeni ushauri wanajamvi wenzangu wake kwa waume hapo napendwa au naibiwa tu?na nifanyeje mie kuli solve hili suala
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wizi wa kizamani sn huo!!

    ReplyDelete
  2. mapenzi hakuna hapo huo ni wizi wa mchana hata kama unampenda fanya maamuzi magumu, kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri boti airpory

    ReplyDelete
  3. Tupakule demu wa mizinga atakulipua we tupakule utapata mkali zaidi yake.

    ReplyDelete
  4. Huna mtu hapo!

    ReplyDelete
  5. Hiyo nayo Mpaka utizamie,Mbona Mtanga alishamba kademu ka mizinga hako,Piga chini

    ReplyDelete
  6. hiyo kali huyo tapeli anatumia udhaifu wako kukuibia piga mwizi huyoooo

    ReplyDelete
  7. kaka mpaka leo hujui nn hapo zima fegi, cku huna mpunga c wenye nao watagonga mlango. huu sio mda wa kuwa ATM.

    ReplyDelete
  8. pesa makaratac cha muhimu si anakupa raha duniani hahahaaaaa

    ReplyDelete
  9. uwe unamfila ili mwende sawa maana ni mwizi

    ReplyDelete
  10. Yani aliyeweka hii habari ni kilaza wa kutojishugurisha kutafta habari,hii habari iko hapa www.jamiiforums.com jukwaa la mahusiano,mapenzi na urafiki.mlichokifanya ni kucopy na kupest pasipokuweka chanzo cha habari

    ReplyDelete
  11. seeeeeeeeeeeeeeeepa

    ReplyDelete

Top Post Ad