Angalieni Madudu haya ya TBC leo Asubui

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndugu watanzania wote kwa ujumla leo asubui katika mapitio ya magazeti mtangazaji wa tbc radio alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti na alisoma baadhi ya heading nyingi na akafika kwenye habari iliyokuwa inamzungumzia mch.msigwa..na akaanza kuisoma mch.msigwa amwaambia........., ikaishia hapo hapo nilipoweka nukta hizo na hakuendelea kumalizia habari hio na akaendelea na habari zingine...na bila shaka ilikuwa ni habari ya msigwa kumwambia kinana aende mahakamani..
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kaka husiumize kicha na TBC siku zote wanatoa habari zinaziipendeza serikari yao iliyowajiri soo wewe wapige kapuni habari kama hizo hawawezi kuzisomaaaa!!

    ReplyDelete
  2. hata hivyo watangazaji wa tbc kama vile hawajui ki ingerza kama leo tar 17/5/2013 asubuhi ktk magazeti aliekua anasoma ilifka muda wa kusoma yale ya THE GUDIANS NA DELLY NEWS akasema habari ndo hizo hizo lk ya kiswahili anarudia rudia habari nikajua hakuna kitu hapo

    ReplyDelete
  3. Kwani wewe hujajua tu

    ReplyDelete
  4. Usipate tabu na hao watu,kwani hujawashtukia siku zote,huwa siangalii hata taarifa zao zilizoeditiwa,wanaitumikia CCM na serikali yake.

    ReplyDelete
  5. ,kwani hujawashtukia wanaiabudu ccm siku zote,hata taarifa zao zinaeditiwa,wanaitumikia CCM na serikali yake.

    ReplyDelete
  6. Wacha hiyo, siku simba na Yanga zinacheza uwanja wa taifa, TBC1 wanaonesha kombe la dunia iliyochezwa Sauth Africa. chezea TBC1 wewe?!!!!

    ReplyDelete
  7. Mnataka iwatumikie chadema? Nyie endeleeni kusikiliza vyombo vya habari vya chadema hakuna atakae wabuguza, Mnauwezo mdogo wa kutambua mambo.

    ReplyDelete

Top Post Ad