GARI JIPYA LA DIAMOND LAZUA UTATA..WENGI WASEMA SIO JIPYA MBONA KAZIBA PLATE NUMBER!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Inakwenda week sasa toka mkali wa bongo fleva Diamond Platinumz kuonekana kwenye account yake ya Instagram akiwa na ndinga hili kali V8. Mashabiki wakasema mbona lile gari la kwanza alivyolinunua tuliona mbwembwe nyingi za picha na kuliita new baby mara my new toy hili mbona hatuoni hizo mbwembwe? Shabiki mmoja akahoji mbona akipiga picha na hili gari anakaa katikati na kuziba namba za mwanzo zisionekane je ni lake kweli au…?
Na mimi ikanibidi kuzifuatilia picha hizo na kweli nikajionea mwenyewe kama hizo picha zinavyoonekana hapo juu hahaaa…
Sina jibu sahihi mpaka nitakapomtafuta na kutueleza ukweli uko wapi kama ndio new toy au new bby ameingia kwenye himaya ya Platinumz au la… stay tune.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni T 279 BXF hata kama ni mtumba wa kibongo still ni mchuma wa ukweli hongera zake

    ReplyDelete
  2. Ni mtumba ila haina noma..uko mwake...

    ReplyDelete
  3. Ukichunguza kwa makini picha ya kwanza utaona namba zake sahihi ambazo ni T279 BXF. Kwa aina ya hiyo gari V8 ni kama mpya vile. Hongera Daimond, keep it up.

    ReplyDelete
  4. HIVI NYIE WAAFRIKA MBONA BADO SANA HIVI GARI NDIO MNAONA KITU KIKUBWA KIASI MSILALE KWA AJILI YA GARI LA DIAMOND? KWELI BADO SANA HUKO KWELI NDIO SASA NAAMINI KWELI AFRIKA NI BARA LA GIZA- KWANI HUWA SHIDA NI NINI HASA KWA MTU HATA AAKINUNUA BAJAJI INAKUWA TAABU STORI ZOTE ZINAKUWA PWAA MJI MZIMA. ,,. - JEE AKIJENGA GHOROFA HAPO ITAKUWAJE? EWE MUNGU TUNUSURU NA HUU UMASIKINI ULIOTUANDAMA KWA KIPINDI KIREFU

    ReplyDelete
  5. acheni usahamba,,kila anachofanya chalii mwamkalia macho juu c mumuache atumie pesa zake yakwenu yamewashinda mnakazi ya kumfatilia diamond fanyeni ya kwenu ili na nyie cku 1 wa2 waseme yenu

    ReplyDelete
  6. mi mbona baisker yangu amuiongelei

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. The life pass always never tip out

    ReplyDelete
  9. The life pass always never tip out

    ReplyDelete

Top Post Ad