PIGO LA PILI KWA LOWASSA, BADO LA TATU NA LA MWISHO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Bwana Lowassa,

Nikupe pole nyingine baada ya ile ya juzi kati kukueleza vichomi ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee Nungwiiiii, Naam umepigwa kufuli kutojishughulisha na siasa za uongozi mpaka mwezi wa pili mwakani,

Sasa ulijiandaa kuteka siasa kwamgongo wa katiba mpya, ikawa usiku ikawa mchana, naaam leo Chenge kakulamba chenga ya kisigino, ndio kakutelekeza, tena alfajiri tu.

Chenge kaiona pepo japo ni ya masika tu na kaniki haifuliwi kwa maji ya mvua.

Chenge hatunae tena kwenye anga la ukuu wa katiba mpya, sasa ni yuleyule aliyekupeleka kibla mnamo 2007, si mwingine ni Samwel Sitta mbabe wako kutoka CCJ.

Wayajua mapigo mawili yaliyo mbele yako??

Haya tutaftane..."

By Yericko Nyerere From JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Taarifa iko ki udaku mno.mnatumalizia bundle zetu bila sababu!!!!!

    ReplyDelete
  2. tutaftane ndo nini?, we sangoma nini? acha roho mbaya, huwa tunawasifia waliofanikiwa na sio kuwaponda walioshindwa. acha ukuda, mavi yako we

    ReplyDelete
  3. huna lolote wala huna hoja

    ReplyDelete
  4. nyie mnaopinga humu mnauhusuda wa mtu fulani, mtabaki hivyo hivyo na ulimbukeni wenu mkifikiri urais wa Tanzania ni mali ya mtu!! maboya tu!!

    ReplyDelete
  5. kama tunakosa cha kuandika ni bora kukaa kimya sijaona lolote liloandikwa ki msingI acheni kuua watu kisiasa tunaelekea wapi Watanzania??? huna cha kuandika kaa kimya huu ni upuuuzi

    ReplyDelete
  6. eeeeh Mungu ibariki Tanzania, naomba utuuepushe na VIONGOZI MAFISADI.

    ReplyDelete

Top Post Ad