Mama yake Beyonce aweka wazi ukweli kuhusu tetesi za Beyonce na Jay Z kutaka kuachana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na Jay Z kutaka kuvunjika. Story hizo zinapata nguvu kutokana na historia ya ugomvi uliotokea kati Jay Z na mdogo wake Beyonce kwenye lift.
Camera ya mapaparazi ikakutana na mama wa Beyonce akiwa anatoka restaurant na kumuuliza kuhusu ukweli juu ya maisha ya ndoa ya mwanae na Jay Z.  Alichojibu mama huyo ni kwamba kila kitu kipo sawa, aliongeza zaidi kwa kusema wanaochukia wataendelea kuchukia lakini wawili hao (Jay Z na Beyonce) mambo yao yapo vizuri.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani pesa sabuni ya rohooooo,utafikiri mtu na dada yake kumbeeee mtu na mama yake.

    ReplyDelete
  2. Halafu midume ya bongo inataka tuipende na ufukara wao! Mimi mwanaume mpuuzi asiye na pesa wala mipango endelevu ya kumiliki ATM machine apite mbali kabisa!
    Sitaki UMASIKINI wa kujitakia!

    ReplyDelete

Top Post Ad