UKATILI! Msicha wa Kazi Achomwa Moto Sehemu Zake za Siri Kisa Kakojoa Kitandani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari  kutoka  mkoani  Arusha  zinaarufu  kuwa  msichana  mmoja  wa  kazi ( hausigeli)  ameungua  na  kuharibika  vibaya  sehemu  zake  za  siri  baada  ya  kuchomwa  moto  na  bosi  wake…

Kwa  mujibu  wa  mtu  aliyetutumia  picha  za  tukio  hilo, Binti  huyo  anadaiwa  kuchomwa  moto  baada  ya  kukojoa  kitandani  usiku  akiwa  amelala

Tunaendelea  kuangaza undani  wa  tukio  hili.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inamaana mlishindwa kumsitiri kidogo hyo sehem hadi mkaionyesha hvyo?

    ReplyDelete
  2. kwahiyo na mavuzi pia yamechomwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Katoto hako hata mavuzi bado..ni ukatili hata shetani hawazi kuufanya kma anakojoa kitandani mrudishe kwao mwanao akikojoa utamuunguza au sababu niwamwingine..mungu atalipia nakuambia..

      Delete
  3. Maskini anaonyesha ana kuma tamu kuliko ya mama mwenye nyumba.. donge tu!!!

    ReplyDelete
  4. Arusha watoto wa ndani wananyanyasika sana. kama huwezi kuishi nae mrudishe kwao ya nini kumtia jeraha? kisha wanawake wanao fanya hivyo ni wavivu, anasubiri mtoto wa ndani ampikie mumewe

    ReplyDelete
  5. Msitirini kidogo kma kuunguzwa kaunguzwa badi mnamdhalilisha kuonesha sehemu zake dunia nzima..akipona au akikua hatajisikia vizuri kujiona akiwa mtupu atazidii kuumia semeni tu kaungua vibaya inatosha...Mungu yupo atawalipa wakatili wote ila waende jela kwanza na hukumu mbinguni ndio dawa yao..natamani achomwe na yeye tumpige picha aonje utamu wake

    ReplyDelete
  6. Watu hawajui hayo ni maradhi si kwamba nae hajisikii vibaya kukojoa kitandani, tujaribu kuwaonea huruma wenye matatizo na kuwasaidia. Je angekua binti yake ana matatizo hayo angemchoma moto, huyo bosi achukuliwe hatua haya mambo yameachwa kwa muda mrefu kwahiyo yanaonekana kawaida.

    ReplyDelete
  7. nae achomwe hiyo k aone

    ReplyDelete

Top Post Ad