Baada ya Kushindwa Mapenzi ya Diva na Chagga Barbie Prezzo Aamua Kutulia Kimapenzi na Mrembo Asiye na Umaarufu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.

Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika: “My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mhhhh sura imetulia, bodi je ikoje? maanake ni lazima viendane!!

    ReplyDelete
  2. hongera president!

    ReplyDelete
  3. Wanatakaga maarufu nawanakomeshwa.mwanamke maarufu we mfunue pita wanini

    ReplyDelete

Top Post Ad