Taarifa Kuhusu Meseji Inayosambaa Kuwa Sitti Abbas Mtemvu Amejivua Taji la Miss Tanzania si ya Kweli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jioni ya leo Imezagaa meseji ambayo imechukulikwa facebook page yenye jina la Sitti Abbas Mtemvu ikielezea kuwa Sitti Amejivua Taji la Miss Tanzania kutokana na Maneno ya Watu ...

Ukweli ni kuwa Hiyo Page si ya Sitti Mtemvu kwa uchunguzi wangu mdogo niliyofanya, Page inaonekana imetengenezwa tarehe 17 Mwezi Huu na ina Likes 1486 mpaka wakati huu..

Ijulikane kuwa Sitti Akiamua Kujivua Taji Hawezi Kamwe kusema kupitia Mitandao ya Kijamii bali itabidi ipitie katika kamati ya Miss Tanzania.......

Usidanganyike...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama hajivui kakomaa atalivua bilakutegemea maanina zakeeeee idiot mrs lundenga a.k.a bibi bomba toka huko nameno yako mafupi kama punje za mahindi.

    ReplyDelete
  2. SIO KUJIVUA TU BADO UTAFUATIWA MPAKA MAREKANI HUKO ILI UJULIKANE HASA WEWE NI NANI USIJE UKAWA NI GAIDI WA KISASA HATA MAREKANI WATAKUPIGA BLACK LISTYA MAISHA YAKO YOTE KAZI BONGO HUWEZI KUPATA TENA,KWANI HAKUNA ATAKAE KUAMINI TENA. KARIBU UTUUZIE CHIPI CHANGOMBE

    ReplyDelete
  3. USHAURI WA BULE KWA SITTI USINGOJE KUVULIWA TAJI VUA MWENYEWE!! MMEFANYA MAMBO YA AIBU SANA TENA SANA NIMEKUSIKIA MARA MBILI UKITAMKA KWA MDOMO WAKO KUHUSU UMRI WAKO MARA YA KWANZA KWENYE MASHINDANO ULISEMA UNA MIAKA 18 NA ULIVYOULIZWA NA WAANDISHI WA HABARI UMESEMA UNA MIAKA 25 SASA TUAMBIE UKWELI UMRI WAKO NI MIAKA MINGAPI?? PASSPORT MIAKA 25 JAMANI !!! WEWE VUA HILO TAJI SIO HAKI YAKO MPENDWA!!!

    ReplyDelete
  4. ULIVYOULIZWA NA WAANDISHI WA HABARI ULISEMA UNA MIAKA 23 SIO 25 ILA PASSPORT NA LESENI MIAKA 25

    ReplyDelete
  5. Yataka moyo, kama hawezi kuishi kwa ajili ya taji hili kwa nini alishiriki? asituchanganye, rudisha taji bibi bomba

    ReplyDelete
  6. Kama hiyo message ni 'yakufoji' hakuna cha ajabu kwake, kwani yeye mwenyewe ana 'MASTERS OF FORGERY'

    ReplyDelete

Top Post Ad