Kadri Mwanamke Anavyojiremba Zaidi Hamu ya Kufanya nae Mapenzi Inavyopungua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujiremba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!


Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojiremba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenzi inavyopungua.



Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.



Tafadhali karibuni kwa mjadala huu



By Kibo10 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. asante kaka kwa kupenda natural. hata mimi siku nikimpata msichana maji ya kunde wa asili sio wa mafuta, sio mrefu wala mfupi, asiwe mwembamba saana, nikimbandika na dred za asili ndefu za kubana bila shida! kiukweli atakua amenibamba moyo, yani akipatikana aweke mawasiliano yake hapa nitampigia

    ReplyDelete
  2. Hukawii kuona umelala najini buree subiri kukuche sasa bila make up sukule hili humtazami

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli nakubaliana nawe! Nilipata kwenda Morogoro kwenye sherehe ya Send Off, Hoteli inaitwa Nashera, aliingia dada amejiremba huyo, yaani minywele, mi-makeup, lipustiki hiyo, Mungu wangu kama JINI! Inasemekana ni mfanyabiashara wa nguo pale Morogoro mitaa ya kati. Jamani hana mashosti wa kumpa ukweli jamani. Yaani hadi niliyeoneshwa kuwa ni mumewe nadhani anaona aibu kuongozana nae! Kweli kabisa mwanamke yule kapitiliza inaweza isisimake kwa kweli. Yaani hadi anaonekana mzee!

    ReplyDelete
  4. Huna kasoro. Hiyo ni kawaida. Hata mimi ni hivyo.

    ReplyDelete
  5. Huo ni ukweli na zaidi mwanamke akizidisha Sana urembo huonekana ni malaya

    ReplyDelete
  6. mimi nilidhani nipo pekeyangu au ninatatizo kumbe wengi tupo hivyo..yaani demu akisha jilemba sana namuona kama mdori, hisihia zinapotea kabisa

    ReplyDelete

  7. Asante sana kwa mada hii maanake nimeipenda sana. Ngoja niwapeni kisa cha ukweli. Mimi ninaisha hapa USA,kabla sijarudi nyumbani kwenye rikizo nilimuomba dada yangu anitafutie msichana mzuri nitakaye ongea nae nikiwa kwenye rikizo yangu. Dada yangu alikubali alinitafutia msichana mzuri sana, mitako mikubwa kama iliyo jaa mimavi, minyele ndefu za bandia, akiongea anachanganya Kiswahili na kingereza!! Yalikuwa ni majanga matupu. Nilipo muona nilimwambia sijisikii vizuri alibidi aondoke. Alipo ondoka na dada yangu alipokwenda kazini, nilimtongoza msichana wake wa kazi, ambaye alikuwa ana nywele zake za asili,umbo lake dogo, na mtoto wa watu alikuwa anaongea Kiswahili kizuri, bila kuchanganya lugha mpole na mchanga mfu sana. Sasa kazi ni hi: Tulipokwenda kufanya mambo ni mtamu sijawahi kuona, pengine ikiwezekana nitamuowa!!

    ReplyDelete
  8. Ndio maana wakaitwa wanawake. Hizo habari za mara rangi. Mara maua. Mara nywele yote hayo ni mapambo nakshi nakshi. Sasa unataka mwanamke asijirembe aonekane kama dume. Maanake kuna wanawake wenye muonekano wa Wanaume nå hii ni kutokana na kufanana sana na mzazi wa kiume. Au anepata hormon nyingi za kiume. Mwingine mpaka sauti. Kwa hiyo waache wanawake watie vikolobwezo alaaa!!!! Ili uweze tofautisha kati ya mwanamke na mwanaume

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kosa ni kongeza hayo mapambo,sio kujipamba.yaani wengine kwenye macho tu utafikiri trafick light.halafu ni gharama za bure tu.service yako ndio inayovutia.

      Delete
  9. ngoja kwanza....mwandishi na huu ukimwa unasema ukipata natural unasikia raha ukipata aliyejiremba husikii raha angalia paragraph ya mwisho..ushauri wangu....baki na huyo natural wako mmoja hawa wa kujiremba waache inawezekana wapo wanaowapenda...

    ReplyDelete

Top Post Ad