Panapo Fuka Moshi Kuna Moto..Habari za Millard Ayo Kujimilikisha Mrembo Jokate

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mtefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena.

Mapenzi yake kwa Jokate yalianza kwa kificho na kwa usiri mkubwa hatimai imedhihilika kuwa mapenzi hayana siri baada ya kuanza kutoa picha zao ktk mitandao na kuonekana sehemu tofauti wakiwa wote, hasa ktk tuzo za Afrimama zilizofanyika South Africa.

Hii ni couple nzuri yenye kujua maisha hasa katika suala zima la kutafuta pesa licha ya kujituma kwa juhudi katika kazi zao.
Ikumbukwe Jokate ame sign mkataba usiokuwa na kikomo na kampuni ya wachina yenye thamani ya Tshs 8.2 billion
~Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. utatumia hizo hela utazifanyia chochote,,utabakia 0.00

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulimaanisha hutazifanyia chochote au utazifanyia chochote? Division five noma

      Delete

Top Post Ad