Nuh Mziwanda: Shilole Nimekupa Ruksa, Nipige Mpaka Nikome!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda  ameibuka na kuandika bandiko hili mtandaoni.

Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekupa ruksa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja sana ….zimaTaa sie tayari”Mziwanda aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu

Mh! Amakweli haya ndio mapenzi!! Kila la kheri……
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utadhalilishwa mpaka ukome, bwege sana

    ReplyDelete
  2. Good boy!!!! you know what love means!!!

    ReplyDelete
  3. hichi kitoto kibwege ipo siku atakuta mwanaume mwenzie kalala kitandani atambiwa ampelekee maji ya kuoga

    ReplyDelete
  4. Ukipenda kulelewa na mijimama lazima uwe mtumwa.MAZAFANTA

    ReplyDelete
  5. Hayo ndiyo mapenzi sasa mtoto haoni wala hasikii! Ukiona unaweza kujicontrol ujuwe bado hujapenda kiukweli.... NUh wAuWe

    ReplyDelete

Top Post Ad