Diamond, Ni Nani Kakwambia Sumaye na Lowassa ni Kabila Moja? Hii Sasa Unaleta Ukabila....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..

Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe)..

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(Lowasa,Sumaye)..

Sina shaka alichoandika hakijatoka kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua)..
Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani mngoni na mndendeule si wote ni walewale tu?
    Mnyasa na mmatengo jeeeeeeee?
    Mmakonde na Myao nao utasemaje?Wee mwandishi una lako.Hamnazo!

    ReplyDelete
  2. hapo kakosea nini? wote si wanatoka kilimanjaro?????????? acha ushamba we mwandishi

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe nawe hauelewi lolote kaa kimya,wote hao hawatoki kilimanjaro,rudi darasani

      Delete
  3. DOGO NAE KAJISHUSHIA HESHIMA KWA WATANZANIA WALIOKUWA WANAKUHESHIMU. HATA KM KUJIPENDEKEZA KWA MSANII MWENZENU BUT THIS IS TOOO MUCH,NAKUFANANISHA SASA NA KADA NAMBA MOJA WA CCM BWANA POLEPOLE

    ReplyDelete
  4. Tusiwe wajinga wakusoma habari na kutoa maoni bila kutafakari ila jamaa huyo mwandishi kapigika na sisi wasomaji tuwe waelewa tusiwe wapumbavu wa kufagilia swaga za watu wahuni za kuleta uchonganishi hivyo alivyoandika Diamond hakutaja Lowassa wala Sumaye kazungumzia ukabila kwa ujumla usitutenganishe au kuwekewa ukabila nchini wote ni wamoja tupendane sasa tatizo nini maoni mengine ni yakutafuta kicki kuisaidia UKAWA kinyemela na UKAWA haiwezi kujenga sera za kuaminika ila kupitia kwa wahuni wanaopotosha ukweli na hicho kitu kinachofanya jahazi lao kuzidi kuzama kila kukicha na kubaki na miziki ile ile ya kizamani lazima CCM ing'oke huku wanadidimia nakujifanya kama wanahaki ya ndiyo kwa watanzania wote na ndo wawakilishi wa kura zote za watanzania msijidanganye na huu upuuzi uzeni sera za maana sio kuandika matusi na kashifa watu mnawaboa na kuwaona si kitu mali

    ReplyDelete
  5. Mbulu na mmasai wote ni wavaa mshuka

    ReplyDelete
  6. Ni yeye Sumaye ndio analeta ukabila aliposema wanataka rais kutoka kaskazini

    ReplyDelete
  7. Hatakama sio kabila moja lakini wote ni'wakaskazini a.k.a. Arusha, ni wabinafsi mno....lakini mwisho wao unafika labda waunde ufalme wao wa kanda ya kaskazini.....CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  8. Ndo mana makabila yanatajwa kwa idadi yake. Mmakonde na myao ni tofauti. Kiukwel shule bado ndogo kwa baadh ya watu.

    ReplyDelete
  9. domo linaropoka tu, au linafikiri watu waliotoka kaskazini wote ni kabila moja, kumbe hata Tanzania haijui vizuri eehh!! au elimu ndogo!

    ReplyDelete
  10. Chadema wote ni waropokaji tu suala la Chama ni sawa na Itikadi za kidini kwani kuwa na mapenzi na ccm dhambi??

    chadema wote wahuni tupu Diamond Perfect kama mna hasira futa nyimbo zake kwenye simu sisi ndiyo tunazijaza

    sio vibaya kuonyesha Hisia za mapenzi ya chama

    ndiyo maana hata Lowasa kahama CCM akiwa mzee mbona hakutoka akiwa kijana?

    imekula kwenu na chadema mwaka huu wa mwisho chama kimekufa

    ReplyDelete
  11. domo akili yake ipo mdomoni,darasa lenyewe la form 2,go back to school.

    ReplyDelete
  12. yeye ndo analeta ukabila nani alyezungumzia ukabila?ndo tabu ya kupigiwa kampeni na watu waliosoma tandale

    ReplyDelete
  13. Dogo piga music wako tu ndugu yangu kujua kiingereza sio eti una akili , najua Huna njaa sasa kwanini unakubali kutumika "kusapoti" majambazi? Uko juu kwanini unataka kujishusha mwenyewe? Hivi kweli sumaye na mbowe ni Kabila Moja? Ccm sio mbaya Bali Watu wameichoka wewe umewatema madem wangapi?

    ReplyDelete
  14. Upeo ni Mdogo sana kwa mwandishi na hata diamond upeo wake ni Mdogo mno angekuwa na upeo mkubwa angetumia siasa kama moja ya vyanzo vyake vya mpunga sio kuleta ushabiki ambao mbeleni hautamsaidia kwa lolote

    ReplyDelete
  15. Hivi kosa la Diamond ni kupenda CCM. Acheni hizo. Kila mtu ana haki ya kuchagua chama anachokipenda. Mnadhani Watanzania wote ni CHADEMA? Mshindwe na mlegee...

    ReplyDelete

Top Post Ad