Ukimya wa Mke wa Magufuli Unatia Shaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani Mke wa Magufuli mbona haonekani kwenye Campaign kama ilivyokua kwa Mama Salma, Mama Anna Mkapa na Mama Regina Lowassa. Kuna nini hapa katikati?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anajifunza English
    Salma aliferi English London toba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hee! 'Aliferi'?? Unamnyoshea mwenzio kidoli kimoja, vitatu unajinyoshea mwenyewe!!!!

      Delete
  2. Hana hamu ya kuhamia Ukawa, keshaona Ccm hamna kitu

    ReplyDelete
  3. Push up hizo nafikiri ndani hakuko shwari....mke ana msimamo huyo nimempenda, she calls a spade a spade..full stop.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Subiri baada 25/10/2015 ndio utamjua vizuri.

      Delete
  4. MAGUFULI HAWEZI KUKAA NA MKE,NI JEURI NA MKOROFI ILE MBAYA.SASA HIVI WANAISHI NAYE KWA MAZOEA TUU,HAMNA NDOA,MAGUFULI NI MWEHU,VERY ALLOGANT,VERY CONTRAVETIONAL

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aisee!! Hongera sana, inaelekea unamjua vizuri sana Magufuli kulio ananyojijua mwenyewe. Mara 'hawezi kukaa na mke', mara 'wanaishi naye kwa mazoea'....tushike lipi sasa? Tatizo lenu cdm ndio hili 'ropo ropo', jazba na mihemko isiokuwa na maana.

      Delete
    2. Mwehu angepewa wadhifa kuongoza wizara? Hayo maneno ya blaablaa mbona hata kwa Mzee Mkapa yalisemwa sana,lakini alifanya kazi vizuri au hakufanya kazi?sie tunajali afya kwanza,mengine hatujui na ndio maana nyumba zikawa na kuta na milango na madirisha ili mengine yaishie huko huko ndani.Sijui wewe ulijuaje ya huko ndani kwao kama sio mchawi.

      Delete
    3. Kwa ccm ni kawaida chizi kupewa madaraka. kama waliowapiga wastaafu wamezawadiwa U_dc, waliomuua mwangosi sasa hivi ni makamishna, hawashindwi kumpa mapadlock wizara.

      Delete
  5. Hatu muhitaji mke wa Lowasa anatosha,, si ndio fist lady wa ukawa kampiku mke wa Silahaa sasa mnamtaka mama magufuli wa nini.Wee uluosema anajifunza kingereza kwa Tsnzania sio issue ni second language jivunie kiswahili chako acheni ushamba kisa mko wingereza mnakuwa watumwa wa luga zenu. Kila kona transilater wapo hatari kitu gani kama hujui kingereza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akienda ulaya lazima ajuwe umombo ati
      Translater mpk lini

      Delete
  6. Hakushirikishwa wala kuulizwa Kama magufuli anataka urais
    It's was surprise and shock for her
    Wanaume wa CCM hao
    Lakini mishangingi ya bongo movie inakula uroda naye

    ReplyDelete
  7. Hembu tuanze na mafirst lady
    Awamu ya kwanza na ya pili hatukuwa na vishindo hivi vya First Lady
    Toba alipoingia mkapa na makapa yake akaja na makombo toka kwa mramba naye ni bibi Anna Mkapa huyu ndo aloleta tafrani Tanzania kuanzisha NGO kwa pesa zetu
    Alipotoka kaja Slama huyu funga kazi na wama yake
    Na Janet yupo shule kujifunza lugha, NGO ganiaanzishe
    Mafisadi WA CCM wako naye saa hizi
    Lakini wameula na chuya shoga
    First Lady ana Kila kitu shule hadi confidence (kujiamini)
    Chezea Lowassa wewe
    Pls kura yako 25 October kwa Lowassa na ukawa

    ReplyDelete
  8. Hada shka na kitu chochote, anaendlea kupiga chaki job kwake coz anahesabu siku tu anakuwa First lady.So, utamsikia sik si,nyingi.

    ReplyDelete
  9. Hapendi siasa hy

    ReplyDelete
  10. Kwa kuwa sio lazima kisheria basi tuwaache na maisha yao,ila
    nina uhakika siku ya kuapishwa lazima atakuwepo.Hahahahahahaha.HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  11. WAMEGOMBANA MUDA MREFU SANA, KATAENI KUBALINI UKWELI NDIO HUO, MTACHAGUA RAIS BACHELA, MKEWE YUKO KIVYAKE KABISA HIYO NI HABARI KAMILI KABISA

    ReplyDelete
  12. Msiwadanganye Watanzania. MMempa Cheo magufuli mkijua anamke mwingine hotelini. Ndio CCM na uongo. Huyu mama ana heshima, utu na hekima. Magufuli mwongo. mwacheni huyu mama msiwadanganye Watamzania na kumtumia Mwanamke au kumdharalisha. Magufuli Haendi Ikulu. Mwongo na anamke kafichwa. CCM mnajua kwa nini msiweke wazi. Magufuli si mwaminifu kindoa.

    Si mmeuliza. Kwa nini msimuulize Magufuli mwenyewe kama anajiheshimu atasema. CCM inaudume badala ya kumuuliza pombe mnamuuliza mkewake. Wajinga nyinyi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulipitwa labda,Huyu ndio mke watanzania na wanaCCM tuliyeonyeshwa na Magufuli na sio mwingine,nakushauri kama unataka uhakika zaidi subiri siku Magufuli atakapoapishwa kuwa Rais wako uone atakuja Janet au huyo wa hotelini.UKAWA BYEBYE.

      Delete
  13. hatumtaki huyu mama mwalim wa upeeee....mama lowasaa regina anatoshaa hyo mama mke wa mapadrock hata njee ktk mikutano ataongea nini na mataifaaa ya njee km mmewe magufuli hata english ya kuombea maji hajuii watatuangusha zaid ktk mikataba hatuwataki kabisaaa

    ReplyDelete
  14. kwani kila mke wa rais ni mwana siasa kwendeni zenu huko subilini ushindi october mtajuta

    ReplyDelete
  15. Ukitaka kujua AKILI na UFAHAMU wa watu, soma COMMENTS zao tu!

    ReplyDelete
  16. Anauhakika mumewe yupo 'fit' hajinyei hovyo kama Lowasa, Regina ni lazima aongozane nae, anajua muda wowote atajinyea

    ReplyDelete
  17. una habari mwehu maguful anapopiga push-up anatumia nguvu za ziada kushuka chini kifudi fudi na ndiyo sababu inabidi ajambe kwa nguvu,waliokua naye jukwaa kuu kahama walishtua wakataka kusambaratika kwa sababu milio[kujamba]iliyokua inatoka kwa mheshimiwa magufuli iikua inafanana na mabomu ya machozi ukiachilia mbali harufu-mvundo iliyotanda mahala pale.kwa ujumla ni uchafu na aibu kubwa.angalia,mpaka campaign manager bulembo akapasuka mbavu

    ReplyDelete
  18. hee push-up ya nguvu huku nyuma akiachia kwa nguvu,nadhani hiyo ndiyo corresponding entry,kweli ni uchafu.mzee acha hizo unatia aibu.waachie akina mwigulu,nape na kigwangwala kwa sababu walikwisha legezwa toka zamani.

    ReplyDelete
  19. KAMA WANANCHI W TANZANIA WAPIGA KURA WANGEKOSEA KUMCHAGUA MWEHU HUYU JOHN POMBE MAGUFULI BASI KESI YA KWANZA BAADA YA KUAPISHWA INGEKUWA NI MADAI YA TARAKA[MATRIMONIAL-CASE] KWANI WALISHATENGANA NA MAMA HUYU SIKU NYINGI NA KWAMBA MAGUFULI TAYARI ANAYE MKE MWINGINE AMBAYE INASEMEKANA ALIKUA PERSONAL SECRETARY WAKE.KWA UJUMLA HUYU BWANA NI MWEHU SI MLIMSIKIA BUNGENI TENA MARA NYINGI KWAMBA ANATAMANI MAKANDARASI WACHAPWE HADHARANI.UNAFIKIRI AKITAWALA NANA ATAACHWA KUCHAPWA KATIKA HAO MAWAZIRI WAKE NA VONGOZI WENGINE ATAKAOWATEUA.ANASEMA,TENA WAZI WAZI "HAPA NI KAZI TUU" NAKUULIZA PANA DALILI ZA UTU HAPO?

    ReplyDelete
  20. HAYO MALUMBANO MWISHO WAKE NI TAREHE 25.10.2015.

    ReplyDelete

Top Post Ad