Kingunge Kumnadi Lowassa Leo Arusha..Aomba Dakika 40 za Kumchana Chana Kikwete na CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa kada mkongwe wa CCM mwenye kadi namba 7, ameomba muda wa dakika 40 za kumchana chana raisi Kikwete kwenye mkutano wa kampeni utakaofanyika leo jijini Arusha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sema mzee sema
    Wataisoma no mwaka huu

    ReplyDelete
  2. Sema mzee sema
    Wataisoma no mwaka huu

    ReplyDelete
  3. Huyu naye hatakumbukwa kwa lolote ila style yake ya kula kiapo bila kutumia msahafu wowote wa dini!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inakuhusu nini wewe
      Kwani ukiapa kwa kuruani au bibilia ni msafi
      Fala wewe

      Delete
  4. Huyu mzee hatakumbukwa kwa lolote ila style yake ya kula kiapo bila kukamata msahafu wa dini yoyote!

    ReplyDelete
  5. hUYU NDUMILAKUWILI NAYE APELEKE KULE... SASA ATA AKIMCHA KIKWETE ATAKUWA NA FAIDA GANI KWETU WAKATI KIKWETE MDA WAKE NDO BYE BYE...............HAPA KAZI TU VISASI PELEKENI UKAWA ZEE ZIMA OVYOOO

    ReplyDelete
  6. Mfa maji huyo. Hana jipya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndiye pekee anaijuwa Siri ya CCM
      Patamu Leo jamani

      Delete
  7. Mzee anajivua nguo,Kikwete ungemchana wakati uko nae CCM,
    kwa sasa haisaidii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atasema yote jinsi gani marais wote walivyoingia madarakani
      Na wizi wa kura

      Delete
  8. CCM wamemvumilia huyu mzee,kufanya kazi na mtu asiyekuwa na dini ni shughuli pevu.

    ReplyDelete
  9. NI HAKI YAKE MBONA SLAAA NA LIPUMBA WAMEHAMA MWACHENI MZEE WA WATU WIVU TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU ROHO INAUMA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa hivi ndio naelewa ule wosia wa Mwalimu kwa ccm kwamba ", msimtupe huyu mzee, mtamuuwa!" hata Mkutano Mkuu wa Chama pia hakukaribishwa kwanini asichanganyikiwe jamani? sasa sijui tukamuombee kwa Mungu yupi au tuwaombe Warusi watusaidie??

      Delete
  10. masisiem yanogopa kuchanwa leo!! Mzee Kingunge toboa toboa leo, tunakusubiri kwa haaaaaaaammmm!!!

    ReplyDelete
  11. Hata aongee vipi HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  12. mwacheni mzee aongee mbona huyo Slaa ni ndumila kuwili hamjamoona miaka 50 mmefanya nn,zaidi ya kuchezea akili za watu eti mtajenga VIWANDA huu sio muda wa kusema CCM mtajenga viwanda au miundo mbinu,bora mngesema Mtaboresha mlivyo jenga miaka 50 lakini vikowapi AIBU YENU MWAKA HUUUUUU-mwacheni mzee wa MAHABA

    ReplyDelete
  13. SLAA MPAKA KWENYE MASTAR TV KUFANYA YEYE KOSA NA BADO YUKO HAI ANA HAKI KAMA BABU ZENU NA BABA ZENU TUNAKUFAGILIA KWA SANA TU HAWANA SHUKRAN WAZEE KAMA HAWA WALIOKILEA CHAMA SI WA KUMTUKANA NA KUFANYA MAKABILA NDANI YA CCM. KILA MMOJA ANA UBAYA WAKE NA MZEE WA MAPUSHAP WALA SI MTENDAJI NI MBABE TU.

    ReplyDelete
  14. Eti kingunge!!!! 'NDIO NANI??? !!! (in da'kiboga's voice)

    ReplyDelete
  15. MUASIS WA CHAMA KADI NO 7 AMEKITOSA,KIMEOZA KIMEJAA RUSWA,UFISADI AKA ESCORW

    ReplyDelete

Top Post Ad