VIDEO:Aliyepigwa Picha za Utupu na Kusambazwa Mitandaoni Huyu Hapa, Ahojiwa na Kunena Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mhanga wa picha za utupu zilizosambaa mtandaoni amehojiwa na na kudai kuwa ni kweli pcha hizo alizopiga ni za kwake na alizipiga akiwa anajitambua na mwenzi wake huyoa liyekuwa amepiga nae picha walishaachana baada ya kuwa na mahusianano waliyoyaanza mwaka 2014 na kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 6 lakini hawakujuana kundani kwa muda waliokuwepo pamoja

Anadai baada ya kuona picha hizo alimtafuta mpenzi wake huyo wa zamani na kumuuliza kulikoni na kudai kuwa amepoteza simu.

Alitoa taarifa polisi na polisi walikuwa na taarifa tayari baada ya hpo alimtafuta mpenzi wake huyo aitwa Vincet na kukuta hapatikani na amem block kwenye mitandao ya kijamii ya WhatsApp na Instagram
Amesema kisa cha mwanaume huyo kuvujisha picha hizo ni kuwa waliachana baada ya kumfuma na mwanamke mwingine ambaye alikuwa ni ndugu yake na kisha kumuacha na kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine,
Mwanaume huyo akadai atamuharibia kwa kuwa yeye alimuharibia mipango yake na msichana aliyemfuma naye kwa hiyo na yeye lazima atalipiza kisasi Angalia Video Hapa:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanawake bwana kweli mwalimu wenu kipofu,wewe unakubali kupiga picha za uchi bila ata kujua mambo kama haya yanaweza tokea?

    ReplyDelete
  2. Maelezezo yake yanatosha kujua huyo dada Ni Malaya Na tamaa ya vitu vizuri ndo imemponza, unakua Na mtu hata status yake hauifahamu

    ReplyDelete
  3. Mh yaani hata hajui anacho ongea ana danganya live.Yaani ningekuwa mm hata ningependa kujichoresha tena nakuhojiwa noma.Alafu na nyie udaku mumtafute na huyo mwanaume hayowe maelezo🙄

    ReplyDelete
  4. ukimsikiliza kwa makini utaona ni muongo mkubwa!! hivi mtu unayetoka naye inakuaje usijue jina lake la pili??? kuna kitu hapo sio bure. huwenda amepewa hela huyu na jinsi anavyoongea kama ni kitu cha kawaida tu . Dah utafiti zaidi sijaamini kabisa!!!

    ReplyDelete
  5. Kumbe ni mtu wa kuja ndio maana ameingizwa mjini

    ReplyDelete
  6. Ni mjinga,ni muongo.Hata kama ni kutafuta umaarufu ndio hivyo?

    ReplyDelete
  7. Lol umarufu kutiwa tigo kisha zisabaratike mwendo kasi hivo

    ReplyDelete
  8. Lol umarufu kutiwa tigo kisha zisabaratike mwendo kasi hivo

    ReplyDelete
  9. huyo anatafuta tu kiki kahojiwa E-fm kasema picha ni za miaka saba iliyopita leo et miez sita duh ndo ivo kashaliwa

    ReplyDelete

Top Post Ad