Ushahidi Huu Hapa wa Hamisa Mobetto Kulala Kitandani Kwa Zari Akiwa na Diamond Platnumz Usiku wa Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wadau huku Instagram wanaendelea kurusha picha za ushahidi wa Penzi la Diamond na Hamissa Mobetto na kuwa usiku wa leo wamelala wote nyumbani kwa Diamond tena kitanda kile kile alichokuwa analala na Zari....


Mdau mmoja kaandika hivi:

"Hivi Mpaka sasa kuna mtu bado hakubali🤣🤣Mnaosema ni PhotoShop hii ni Real jamani kama hamuamini mkawaulize wafanyakazi wa madale😂 na mama dangote anajua vizuri tu"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari atatafuta bwana mwingine wa kumtoa out leo. na si mashoga tena.

    ReplyDelete
  2. Kuweni makini mtoto aliye bebwa na Diamond ni binti yake was kwanza hii ni photo shop

    ReplyDelete
  3. hee hee habari ndio hio ajuza hata umfunge kamaba akiwa ndani wako na akitoka ni wa wote Bi ajuza vaa ma jenas vaa vi mini mawigi kika aina na make zote maliza piga picha kila style kanyakuliwa kama ulivo nyakuwa haya ushahidi ndio huo unalo na mtoto kazza prince Naseeb

    ReplyDelete
  4. photo shop my asssss! hujui kusoma hata kuangalia pia hujui? mtu mpaka kashazaa na mtoto bado nn tena. au walikuwa wanatiana usingizini. kwa akili yako ilivokuwa fupi. RWABILIMBO kama jina lako.

    ReplyDelete
  5. POLENI SANA,HAKUNA KITU KIBAYA KAMA MWANAMKE KULALA KITANDA CHA MWENZIO, ANAKUPENDA MBONA ASIKUWEKE KWINGINE AKUPE HESHINA, YAANI UNAENDA KULALA KITANDA ALICHOCHAFUA MWENZAKO, JAMANI TUSISHABIKIE HADITHI ZA ABUNUASU TIKASHINDWA KUKEMEA MAJAABU YA MUSA.LAZIMA WANAWAKE TUJIHESHIMU,IFIKE MUDA TUJITAMBUE, HATA KAMA NI STAR TUPUNGUZE AIBU JAMANI.MSANII NI KIOO CHA JAMII KIPI ANACHOFUNDISHA? NI MAFUNZO YAPI TUNAYOPATA???TUMWOGOPE MUNGU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE UMESEMA KWELI ETI MTU ANAONA SIFA KULALA KITANDA CHA MWENZIE UJINGA MTUPU. TAFUTIWA KITANDA CHAKO UJIDAI NACHHO!!!

      Delete
  6. wewe hujawahi kulala kwenye kitanda cha mwanamke mwenzio? kajambee kuleee, kwasababu hujulikani ndo maana. kaombe kazi ya kufagia choo cha Dai, ili na wewe ukalalwe japo dakika 5.

    ReplyDelete
  7. huyu bi ajuza hajawahi kulala kitanda cha wenzake? mbona kavilalia vingi tu ajabu uliiona wewe ya hamisa kulala kitanda cha daimond hici kitanda sio cha bi ajuza zari kwani kaolewa kama kawekwa ndani hapo tutakubali maneno yako lakini hakuna alie wekwa ndani zari ajuza alijibebesha mwenyewe hadi akajaa tele kabakia mkia tu na kuanza kuringia wenzke wewe unacheza na K A R M A ulie tu sasa

    ReplyDelete
  8. POLENI SANA MNAOONA MABO YANAYOENDELEA MKAYAONA YA KAWAIDA, HAMOSA NI BINTI MZURI SANA VILEVILE ZARI NI MZURI, SIONI KWA HAO WOTE WASUMBUANE HIVI, HAKUNA KITU KIZURI KA AMAN KWENYE MAHUSIANO, HAKUNA KITU BORA KAMA UAMINIFU KATIKA MAHUSIOANO. JAMANI ACHENI KUSHABIKIA MAMBO YASIYO MA MSINGI KEMEA UOVU.

    ReplyDelete

Top Post Ad