AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
- Kuna wakati siasa zinatakiwa kufika to a dead end, na here we are, nasema tena sina tatizo na Wabunge kuombwa kurudi Bungeni na Rais wa Jamhuri, lakini nitakuwa na tatizo kubwa iwapo Wabunge wangu wa CCM watabadilika na kuweka msimamo mpya badala ya ule walioupitisha tayari kwa mujibu wa sheria, naahidi kwa Miungu yangu yote kuwa NITAIRUDISHA KADI YANGU YA CCM SIKU HIYO HIYO FASTA SANA!!
- CCM NI CHAMA CHA MAPINDUZI I MEAN REVOLUTION SIO ANYTHING ELSE, NAWAKUMBUSHA WABUNGE WETU WA CCM KWAMBA WANACHAMA WAKE TUNATAKIWA WANA MAPINDUZI NA WENYE MSIMAMO SIO WAOGA WAOGA WAKUYUMBISHWA YUMBISHWA NA THIS IS BEST TEST EVER!!!
- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!! CCM!
Le Mutuz
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Utashangaa na roho yako na urudishe kweli hiyo gamba yako uje uchukue gwanda
ReplyDeletehatumtaki huku anatetea ufisadi tuu
Deletemimi naulizia tu habari za x wife wake
DeletePole sana but jiandae kurudisha kadi
ReplyDeleteKwani mpka leo kuna kijana Mwana CCM? Pole sana ndugu njoo huku tujipange kuwa 'dondosha' magamba 2015
ReplyDeleteHalloo irudishe kadi .utashangaa na roho yako wakati mambo yakieendelea huku wewe huna kadi.
ReplyDeletewewe nani kwanza??rudisha tu hiyo kadi wengne waendelee ubaya wa dunia hata mtu akifa tunalia tunanyamaza siku zinaenda tunasahau kabsaa sembuse wewe kujitoa!?just go ahead sir.I really love your wisetalk
ReplyDeleteGrow up boy,Revolution has come already and there is no way to stop it,cio ccm wala chama chochote bt it has cme.utabaki na hako kajoho kako na hyo unayoita miungu yako haitakusaidia bali itakuwa ikishangaa pamoja na wewe.Bigup Jk,kwa kuleta mabadiliko yanayofaa kwa Tz na cio tu kukitazama chama chake kama wenzangu na yule wanaotukuza chama kuliko kuliko watanzania.
ReplyDeleteUmezal?wa ccemuni,umkulia ccemuni,umesomeshwa labda mpaka ng,ambo na ccemuni kwa kodi zetu,labda umepata kazi ccemuni,ukaoa ccemuni,na umja ndoto zakupata kanafasi kabwerere ccemuni,nk.to me hujui kingine zaidi ya ccm,pole sana.kalagabaho.wewe badala yakujiunga na vjana wenzio tukatazama mambo ya utaifa,unahubiri habari za ccm.mwenyekiti wako kaliona hilo katumia busara ,wewe unampimjga nakuanza uchochezi eti wakibadili umjarudish kadi,kwa kipi kizuri walichotuamulia pale bungeni ambacho cici na rais wetu hatuoni ila wewe tu,mpaka unataka kututisha.Who ar u,kwanza hata Mungu humwamini,manake umeapa na vimiungu vyako.Hv mmepelekwa shule na pesa zetu ili mtuchezee?tuombe radhi haraka we kijana.kumbe kuvaa joho sio kuelimika.
ReplyDeleteur vel sory gud wenzako wacha sepa wat a u waitng 4?
ReplyDeleteMjinga huyo
ReplyDeleteacheni kujishaua hakuna mtu mwenye uchungu na nchi hii zai maslahi binafsi. hakuna cha gamba wala gwanda wala yeyote yule.
ReplyDeleteWILIAMU HAKIKISHA UNAKISIMAMIA UNACHOKISEMA. IANDAE KABISA ILI UMPE MWIGULU MAANA MSIMAMO UNAKWENDA KUBADILIKA
ReplyDeleteHILI BILINGANYA NALO,RUDISHA KWANI WHO R U!!!!
ReplyDeleteNasikia Huyu le mutuz anatoa tigo?
ReplyDeleteNi kweli, jamaa ni senge lililokubuhu
Deletekusoma kitu gani hata chekechea nu kusoma
ReplyDeleteJamani tutofautishe kusoma na kuelimika hivi ni vitu viwili tofauti sasa viongozi wengi nchini wamesoma ila hawajaelimika!!!!!!!!!!!!!!kwani mtu akirudisha kadi yake sisi kama wa tz tuna athirika na nini?mi nadhan angeirudisha bila hata ya kutangaza............
ReplyDelete