AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hivi kwa nini JK anaongea sana?
How hard is it kuwachukua hawa watu, na kuwafilisi kila kitu kisha kuwaachia huru?
Maana kuwafunga ni kumaliza pesa za walipa kodi kwani watakula bure jela
I'm very disappointed na hii softly softly approach ya JK.
Pia kwa nini ripoti ya Kamati ya Maliasili haiko wazi ili kila mwananchi mlipa kodi aisome na ajue hao watu wakubwa ni akina nani?
JK nakushauri vua kufia yako ya uanasiasa vaa kofia yako iliyokufanya ukaitwa COLONEL kule JWTZ
Na kama COMMANDER IN CHIEF wetu sote tuko nyuma yako.
JF
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hizo stori tumezichoka. Wataje majina yao tuwajue
ReplyDeleteNa mtakuwa disappointed sana wadanganyika.
ReplyDeleteMbona huwataji au unawaogopa?tumechoka na story zako,mara nawajua wauzaji wa madawa ya kulevya mara nawajua vinara wa majangili tumechoka mziki huo huo kila cku na haufiki mwisho.Tumechoka kudanganywa
ReplyDeleteKama vipi tuluhusu na sisi tukamalizie waliobaki, inachosha sana kirasiku nawajuwa nawajuwa hutekelezi. wataje nasisi tuwajue kama wewe unawaogopa sisi tutawafanyia kazi
ReplyDeleteHata wabunge wako lakini hawatajwi kwanini Kuna kitu hapa.
ReplyDeleteNI kweli mh. Raisi ni viongozi wetu ni wajomba zetu ni ndugu zetu, si ujinga wetu tu ndio unaotusumbua, sis black people,
ReplyDelete