Diva Loveness Ajifananisha Yeye Mwenyewe na Tony Braxton

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Leo Diva Ameamka na Mpya Huko Instagram kwa Kupost Picha mbali mbali akijifananisha na Mwanamuziki wa Marekani Anayejulikana kama Tony Braxton , katika Picha Moja Ameandika

"Kipindi cha Slave Trade Kuna Babu au Bibi Alikuwa Tanga..Wewe ni ndugu yangu Nahisi lol"

Haya Jamani Watu Wawili Wawili ....Je wewe unafanana na nani?
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mjinga wew!katafute kazi ufanye sio kukalia ujinga!na kama huna kazi rud kijijin ukawasaidie kutepela manze!

    ReplyDelete
  2. we binti unashida kweli kweli. unahitaji mwanasaikolojia. kwa ushauri wangu usipende kukaa peke yako utachanganyikiwa, sababu kichwani mwako kuna VITA kali yaani unashindana wewe na nafsi yako.

    ReplyDelete
  3. hahhahaha mbege umeongea yaliyo kichwani kwangu

    ReplyDelete
  4. Lakin kweli bwana wanafanana kwen mkisema kweli kuna ubaya gan

    ReplyDelete

Top Post Ad